1.
Dhamira(Burning desire)
Arnold Schwarzenegger moja kati ya waigizaji maarufu sana
duniani, na sasa ni Governer wajimbo moja huko marekani, siku moja kwenye mahojiano
aliulizwa aliwezaje kufika hapo alipofika? Alijibu jibu moja tu kwa urahisi
akasema “ DRIVE” au kwa lugha yetu ya
kiwsahili unaweza kusema “MSUKUMO” mimi
napenda kuita “BURNING DESIRE”
Mafanikio yoyote lazima nyuma yake kuwe na MUSUKUMO au Dhamira ya kufanikiwa(There
must be a burning desire to succeed). Hii burning desire ni kama fuel ya kukusukuma na
kukabiliana na changamoto zote utakazo kutana nazo, ukweli ni kwamba kutoka
kwenye level moja ya maisha na kwenda kwenye level nyingine nikama vile
unavunja msitu, kila level ya maisha ina ENERGY LEVEL, kuvuka kutoka kwenye hatua moja
ya maisha kwenda kwenye hatua nyingine ya maisha ni ku cross energy level,
unahitaji nguvu ya kukusukuma kuvuka hicho kiwango, ile level nyingine ya
maisha kwa kawaida energy level yake ina nguvu zaidi kuliko enegy level ya
maisha uliyopo sasa hivi.
Naamini wengi hapa tuna lengo au malengo tunayotaka kutimiza, iwe ni kwenye
eneo la fedha, biashara, familia afya n.k naamini unamalengo yako umeyaweka,
kufikia malengo hayo ni ku cross energy level, there are a lot of oppositions
in crossing the energy level, to metion few mambo kama(discouragement, fear,
negativity, unbelief, people opinions, etc) hivi vyote ni nguvu isiyo onekana
inayokusukuma kukuzuia usifikie malengo yako, its not easy to overcome these
unseen force, you need a powerful force to support you
Ukiwa na INTENSE BURNING DESIRE to achieve your goals ndiyo tunasema umekuwa
DRIVEN, na hii ndiyo siri ya mwanzo kabisa aliyo ifunua Arnold Schwarzenegger
ya kufanikiwa na kufika hapo alipo fika.
No comments:
Post a Comment