From Zero bank balance to millions
00.0 Balance to XY, 000,000 millions
Kuna kanuni inayo fanya kazi inapofika kwenye swala la kuongeza kipato chako, kanuni hii inaleta ongezeko katika maeneo yote ya maisha yako ikiwa ni pamoja na eneo la fedha, ni kanuni ya mazidisho , kanuni hii inafanya kazi kwa kutumia sehemu muhimu katika maisha ya mwanadamu inayo julikana kama mind(mind part).
Inapofika swala la fedha, your mind play a big role in your income level, uko hapo ulipo kifedha kwa sababu ya conditioning iliyo fanyika kwenye mind yako, lengo mtiririko wa masomo haya ni kukupa ufahamu na mbinu itakayo kuwezesha kuongeza pato lako kwa kutumia kanuni hii muhimu.
Haijawahi kutokea na haitawahi kutoea kwamba siku moja duniani kukawa na upungufu wa fedha(scarcity), by the way, the law of scarcity is the theory originated from the mind of economists. Ukweli ni kwamba upatikanaji wa fedha unaongozwa na kanuni inayo tumia nguvu ya asili kabisa ambayo ni sawasawa na guvu nyingine za asili kama gravitatioanal force, nguvu inayo sababisha dunia kuzunguka katika muhimili wake, nguvu inayo sababisha maji kupwa na kujaa n.k
Nguvu hii ya asili inayo govern upatikanaji wa fedha tofauti yake ni kuwa inafanya kazi(inajidhihirisha) kwenye maisha yako through your mind, in reality there is no financial scarcity, the only limitation is in your mind, unacho takiwa kufanya ni kuiprogram mind yako, katika namna ambayo itaruhusu kanuni hii ya mazidisho ifanye kazi katika maisha yako na kusababisha ongezeko la kipato.
Tutakachofanya kupitia mtiririko wa maomo haya ni, kwanza tutakupa awareness/uelewa wa kuifahamu hii nguvu inavyofanya kazi na jinsi gani unaweza kuisababisha nguvu hii ifanye kazi in your advantage not against you, kwa ku reprogram upya your mind ambayo nguvu hii ina channel kupitia huko. Pili mtiririko wa masomo haya utakupa techniques ambazo utazitumia ku reprogram your mind(reconditioning) katika namna ambayo there will be a flow of this power through your mind ambayo italeta matokeo chanya in your bank account.
Tatu mtiririko wa masomo haya yataku recommend upatikanaji wa tools za ku recondition(reprogram) mind yako, tofauti kati ya tools na techniques ni kuwa techniques inatumia conscious mind to reprogram your mind, yaani unakuwa awere, ufahamu wako unahusika katika reprogramming, hivyo unahitaji ku apply some techniques ambazo zitakabiliana na upinzani utakao tolewa na conscious mind kuzuia hiyo reprogramming process, wakati tools zenyewe una bypass awareness, conscious mind(ufahamu wako) kwa ku u trick, bila ya wenyewe kufahamu, na hivyo kushindwa kuleta upinzani, tools zenyewe zinahitaji tu upatikanaji wa tools ambazo zimetengenezwa katika uwezo wa kui trick your conscious mind(ujuzi na uelewa wa hali ya juu unahitajika katika utengenezaji wa hizi tools) na pia utumiaji wa hizo tools unatakiwa uwe katika muendelezo(consistency).

|
No comments:
Post a Comment